Posted on: November 8th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge ameagiza Shule zote kusaga mahindi katika mashine zenye virutubisho ili Watoto wa shule za awali, msingi na sekondari wapate vya...
Posted on: November 6th, 2023
Maafisa Ugani wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata mafunzo ya kanuni bora za kilimo cha zao la Karanga yenye lengo la kuwajengea uwezo wa namna ya kukabiliana na magonjwa mbalimbal...
Posted on: October 30th, 2023
Afisa lishe wa Wilaya ya Maswa Ndg Abel Gyunda amewataka vijana wa rika balehe kutumia mlo kamili unaohusisha makundi matano ya chakula lengo likiwa ni kumsaidia mwanafunzi kuwa na uwezo m...