Posted on: May 1st, 2018
Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani kimkoa imefanyika Wilayani Itilima mkoa wa Simiyu chini ya kauli mbiu "Kuunganishwa kwa Mifuko ya Hifadhafi ya Jamii kulenga kuboresha mafao ya wafanyakazi"....
Posted on: April 29th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ainaendelea na maandalizi ya uandaaji mazingira mazuri ya ununuzi wa zao la Pamba.
Vikao mbalimbali vya wadau vikiambatana na utoaji wa elimu kwa vyama vya msingi vit...
Posted on: April 13th, 2018
Kambi maalumu la kitaaluma kwa wanafunzi wa kidato cha sita wanaosoma katika shule za sekondari mkoani Simiyu lililoanza hapo tarehe 3/4/2018 limelimefungwa rasmi leo terehe 13/4/2018. Kambi hil...