Posted on: October 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda ametoa kongole kwa viongozi wa Wilaya ya Maswa kwa kusimamia vizuri ujenzi wa miradi ya elimu inayoketelezwa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Maswa.
M...
Posted on: October 26th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wadau wote wa maafa kutoa Elimu kwa wananchi kuchukua tahadhari kuhusu maafa lengo likiwa ni kuwajengea uelewa wananchi namna ya kujilinda...
Posted on: October 19th, 2023
Mradi wa BOOST ni mradi ambao upo kwa ajili ya kuinua elimu ya Awali na Msingi, lengo kuu la mradi huu ni kuboresha upatikanaji wa fursa katika ufundishaji na ujifunzaji bora wa elimu ya a...