• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira

    

UTANGULIZI:

Ufugaji wa Nyuki unafanyika kwa kuzigatia Sera ya Taifa ya Ufugaji Nyuki ya Machi,1998,Sheria ya Ufugaji Nyuki Na.15 ya Mwaka 2002 na Kanuni za Ufugaji Nyuki, 2005. Sera hii ililenga mambo makuu 3 ambayo ni;

  • Kukuza uchumi wa Taifa
  • Manufaa ya kijamii.
  • Kuhifadhi Mazingira

FAIDA ZA UFUGAJI NYUKI

  • Ufugaji Nyuki hauhitaji ardhi yenye rutuba,Mizinga ya Nyuki inaweza kutundikwa kwenye eneo lisilofaa kwa kilimo kwani Nyuki wanaweza kuruka umbali wa maili mbili kutafuta chakula.
  • Nyuki hukusanya chakula chao kwenye maua ya mimea ya asili na iliyopandwa.
  • Nyuki hawahitaji uangalizi wa kila siku,ufugaji Nyuki hauhitaji mtaji mkubwa na mapato yatokanayo na shughuli hii hupatikana katika muda mfupi.
  • Ufugaji Nyuki unaweza kufanywa na wanaume na wanawake wa rika zote.
  • Ufugaji Nyuki unaweza kujianzishia shughuli ya kujiajiri mwenyewe na kujiongezea kipato;huchangia katika usalama wa akiba ya chakula katika Kaya kwa kuzalisha na kuuza mazao ya Nyuki(asali na nta).Asali ni chakula bora chenye virutubisho kama Wanga,Protini,Vitamin na Madini;Nta ni zao la biashara.
  • Ufugaji Nyuki huongeza wingi na ubora wa matunda na mbegu za mimea ya kupandwa mashambani na misitu ya asili kutokana na uchavushaji;ni muhimu katika kilimo endelevu,kuhifadhi mazingira,kutunza ikolojia na kuboresha bioanuwai.

 SHUGHULI ZA KITENGO

  • Kukusanya takwimu sahihi za wafugaji Nyuki pamoja na uzalishaji wa mazao ya Nyuki.
  • Kutoa elimu ya njia bora za ufugaji Nyuki ndani ya Wilaya.
  • Kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali kutoa elimu ya ufugaji Nyuki wa kisasa.
  • Kuhamasisha jamii kuhusu ubora na usalama wa mazao ya Nyuki.
  • Kusimamia na kuwapa elimu wafanyabiashara na wadau wa mazao ya Nyuki juu ya ubora wa mazao ya Nyuki.
  • Kuelimisha jamii katika kusimamia na matumizi ya sheria,kanuni na sera za ufugaji Nyuki.

 CHANGAMOTO SEKTA YA UFUGAJI NYUKI

  • Kutokuwepo kwa kituo maalum cha kukusanyia na kuchakata na kuuza mazao ya Nyuki (Collection centre).
  • Upungufu wa watumishi.
  • Upatikanaji duni wa zana za kisasa za ufugaji Nyuki na uchakataji wa mazao ya Nyuki.
  • Uvamizi wa misitu kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo,ufugaji,uchimbaji wa madini,ukataji miti kwaajili ya mkaa,mbao na nguzo.
  • Mabadiliko ya tabia ya nchi.
  • Uelewa duni wa wafugaji Nyuki juu ya mbinu bora za ufugaji Nyuki wa kisasa na uchakataji wa mazao ya Nyuki.

 MIKAKATI YA KUBORESHA SEKTA YA NYUKI WILAYANI MASWA

  • Kuhakikisha uwepo wa kituo maalum cha kukusanya,kuchakata na kuuzia mazo ya Nyuki wilayani,na upatikanaji wa vifaa vya ufugaji Nyuki wa kisasa wilayani Maswa.
  • Kuendelea kutoa elimu kwa wafugaji Nyuki na wasio wafugaji ili kuongeza uhifadhi wa misitu na kuongeza ubora na wingi wa mazao ya Nyuki.
  • Kuboresha vikundi vilivyopo kwa kuviunda upya na kuvisajili ili kurahisisha utoaji wa huduma inayohitajika.

Wataalam wa Idara

1. Jina:Anthony Paul Maganga                                                              

  Cheo:Kaimu Mkuu wa Kitengo(W)                                        

  Simu:+255713981667/+255766017708                                                        

  Barua pepe:tonymaganga85@gmail.com

2. Jina:Salum J.Kuzenza  

     Cheo: Afisa Nyuki II (Tfsa)

      Simu: +255756719351

Matangazo

  • TANGAZO LA UHAMASISHAJI CHANJO YA MIFUGO January 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASWA

    March 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.