Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anatangaza nafasi za Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II. Watanzania wenye sifa mnakaribishwa kutuma maombi. Zaidi soma TANGAZO LA KAZI MASWA DC PDF.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.