• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Tehama

Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Kimeanzishwa mwaka 2012 kulingana na muundo mpya wa serikali za mitaa.

Kitengo kwa Kushirikiana na menejimenti kimeandaa Sera ya TEHAMA (ICT POLICY) Kwa lengo la kusimamia na kutekeleza masuala yahusuyo TEHAMA katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.

Vile vile Halmashauri kupitia kitengo cha TEHAMA inaendelea kutekeleza mwongozo wa matumizi bora, sahihi na salama ya vifaa na Mifumo ya Teknolojia ya habari na mawasilino Serikalini wa mwaka 2012.

Majukumu ya Kitengo

Kitengo cha TEHAMA kinatekeleza majukumu yafuatayo ikiwa ni pamoja na mengine kulingana na maelekezo ya Mkurugenzi

  1. Kusimamia Mifumo ya Kompyuta iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
  2. .Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi
  3. Kuandika miongozo kwa watumiaji wa mifumo
  4. .Kuratibu majaribio ya mifumo au kompyuta
  5. Kutoa mapendekezo kwa ajili ya kusaidia tathmini ya vifaa na mitambo mipya au program mpya za kompyuta
  6. Kufanya marekebisho ya vigezo vya mifumo pale inapobidi
  7. .Kuandaa sheria na kanuni za utunzaji wa kumbukumbu Zinazohitajika na kuendeleza miundombinu ya Teknolojia ya Habari
  8. Kutathmini na kutoa taarifa kuhusu hitilafu zozote za mfumo wa kompyuta
  9. .Kuhakikisha ufungaji sahihi wa mifumo na mitandao yote
  10. .Kuandaa machapisho mbalimbali na kuyatangaza

Mifumo inayosimamiwa na Kitengo

  1. Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa  (Maswa Website)
  2. Mfumo wa Tovuti za Serikali (GWF) Government Website Framework
  3. Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya Nchi  (e-Vibali)
  4. Mfumo wa kupata taarifa za mshahara (Salary Slip)
  5. Mfumo wa taarifa za Elimu Msingi  (PREM)  Link ya Epicor:  https://192.168.20.6/prem
  6. Mfumo wa taarifa za kifedha  (FFARS)
  7. Mfumo wa Mpango na Bajeti  (PLANREP)
  8. Mfumo wa taarifa za Elimu Sekondari  (PREMS)   Link ya Epicor:  https://192.168.20.15/prems
  9. Mfumo wa Takwimu za Elimu Msingi (BEMIS)
  10. Mfumo wa kusimamia madeni ya Watumishi  (MADENIMIS)
  11. Mfumo wa taarifa za CHF iliyoboreshwa  (IMIS)
  12. Mfumo wa kusimamia Barua Pepe  (GMS Domain)
  13. Mfumo wa Barua Pepe  (GMS)
  14. Mfumo wa Taarifa za Watoto wanaoishi katika Mazingira Hatarishi   (MVC-MIS)
  15. Mfumo wa taarifa za masuala ya Lishe  (MNIS)
  16. Mfumo wa taarifa za Wanafunzi waliofaulu kidato cha Nne  (SELFORM)
  17. Mfumo wa taarifa za Hafua za HIV/AIDS  (TOMSHA)
  18. Mfumo wa Ugawaji vitambulisho vya Wajasiriamali wadogo wadogo (Mfumo wa Vitambulisho) / (Machinga)
  19. Mfumo wa taarifa za Shule  (SIS)
  20. Mfumo wa Vitambulisho vya kuzaliwa (RITA)
  21. Mfumo wa SELECTION
  22. Mfumo wa EPICOR
  23. Mfumo wa LGRCIS
  24. Mfumo wa PSSN
  25. Helpdesk
  26. Mfumo wa Taarifa za Watumishi na Mishahara (HCMIS)
  27. Mfumo wa kusimamia huduma za Afya Hospitalini ( GoTHOMIS)
  28. Mfumo wa Vikundi vya kijamii vya huduma za Kifedha (CMG)


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO March 02, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rc ataka ushirikiano kwa wanawake Simiyu uendelee

    March 09, 2023
  • Walimu Wakuu, Maafisa Elimu Kata na Wenyeviti wa Kamati wapata mafunzo

    March 06, 2023
  • MUAC kutambua watoto wenye matatizo ya lishe

    March 04, 2023
  • DC asisitiza wakulima wote wapatiwe mabomba

    March 03, 2023
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS
  • Mfumo wa MVC-MIS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.