Lengo
Kutoa utaalamu na huduma katika habari, mawasiliano na mazungumzo na umma na vyombo vya habari.
Kitengo hiki kitafanya shughuli zifuatazo:-
• Kukuza sera, kazi na programu za Halmashauri;
• Kusasisha taarifa za Halmashauri kwenye tovuti;
• Kuandaa na kutekeleza mkakati wa mawasiliano;
• Kufanya mazungumzo na wananchi pamoja na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Baraza;
• Kutoa na kusambaza nyaraka kama vile vipeperushi, makala, majarida; na
• Kuratibu taarifa kwa waandishi wa habari.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.