Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 30/05/2022 katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa. Zaidi soma TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.