Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwataarifu wasailiwa waliofaulu usaili wa kuandika kufika kwenye usaili wa maojiano utakaofanyika tarehe 31/05/2022 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Maswa saa 2.00 Asubuhi. Zaidi soma MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO 30.05.2022.pdf0
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.