• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Orodha ya Waheshimiwa Madiwani

Baraza la Madiwani wilayani Maswa lina jumla ya Wajumbe 51, yaani Wabunge 2 kutoka Jimbo la Maswa Mashariki na Maswa Magharibi, Madiwani wa kuchaguliwa kutoka katika Kata 36 na Madiwani wa kuteuliwa 13.

Kazi na wajibu wa Diwani

  1. Kuhamasisha na kuelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi, ushuru, na mapato mengine ya Halmashauri ili waweze kupatiwa huduma bora,
  2. Kufuatilia matumizi ya fedha za Halmashauri kwa lengo la kujiridhisha kuwa matumizi ya fedha hizo hayavuki bajeti iliyoidhinishwa na kwamba fedha zote zimetumika kwa madhumuni yaliyowekwa,
  3. Kuhamasisha na kuelimisha wananchi kuhusu vita dhidi ya umasikini, rushwa na janga la UKIMWI
  4. Kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa maamuzi, mipango na utoaji wa huduma katika Kata yake na kutoa taarifa kwenye vikao vya Halmashauri au Kamati za Halmashauri endapo kuna kasoro za msingi za utekelezaji,
  5. Kuhakikisha kwamba watumishi wote walioko katika eneo la Kata yake wanafanya kazi zao kwa uadilifu na ufanisi na endapo
  6. Kutambua makundi yote katika jamii na kutoa fursa sawa kwa makundi yote katika kuboresha hali zao,
  7. Kumfanya kila mwanajamii kujiona kuwa yeye ni sehemu ya jamii na pia ana maslahi katika jamii yake.
  8. Kuthamini watu wote bila kujali tofauti zao

MAJINA YA WAH. WABUNGE NA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA MWAKA 2020-2025

Na.
Jina la Mheshimiwa
Picha
Jinsi
Wadhifa
Jimbo / Kata
1.
Mhe: Stanslaus Haroon Nyongo

Me
Mbunge
Maswa Mashariki
2.
Mhe: Mashimba Mashauri Ndaki

Me
Mbunge
Maswa Magharibi
3.
Mhe: Aaron Joseph Mboje
Me
Diwani
Binza
4.
Mhe: Esther Guchiba Ng’holongo
Ke
Diwani
Budekwa
5.
Mhe: Jeremia Jayunga Matondo
Me
Diwani
Bugarama
6.
Mhe: Nangale Maige Ngusa
Me
Diwani
Busilili
7.
Mhe: Raphael Ndegeleki Kudomya
Me
Diwani
Dakama
8.
Mhe: Sayi Samwel Maige
Me
Diwani
Ipililo
9.
Mhe: Ally Mbarik Said
Me
Diwani
Lalago
10.
Mhe: Abel Samwel Masunga
Me
Diwani
Mbaragane
11.
Mhe: Amos Athanas Ntabo
Me
Diwani
Mpindo
12.
Mhe: Samwel  Mwandu Sita
Me
Diwani
Mwabaraturu
13.
Mhe: Petro Mashala Ng’wandu
Me
Diwani
Mwamanenge
14.
Mhe: Stephen Kanuda Dwese
Me
Diwani
Ng'wigwa
15.
Mhe: Peter Mlyandingu Mathias
Me
Diwani
Nguliguli
16.
Mhe: Bundala Joseph Isambaja
Me
Diwani
Nyalikungu
17.
Mhe: Juliana John Mbula
Me
Diwani
Sangamwalugesha
18.
Mhe: Mbobo Sadick Duttu
Me
Diwani
Senani
19.
Mhe: Paul Simon Maige
Me
Diwani
Shanwa
20.
Mhe: Masanja Mpiga Magembe
Me
Diwani
Sola
21.
Mhe: Mary Saganda Misangu
Ke
Diwani
Sukuma
22.
Mhe: Juma Alphonce Ng’wandu
Me
Diwani
Badi
23.
Mhe: Sylvanus Mipawa Majula
Me
Diwani
Buchambi
24.
Mhe: Paul Nyondwa Njige
Me
Diwani
Busangi
25.
Mhe: Jitambi Charle Gagagaga
Me
Diwani
Isanga
26.
Mhe: Walwa Daud Lubinza
Me
Diwani
Jija
27.
Mhe: Ndilla Mayeka Jisena
Me
Diwani
Kadoto
28.
Mhe: Joseph Baltazali Paul
Me
Diwani
Kulimi
29.
Mhe: Mashala Renatus Masalu
Me
Diwani
Malampaka
30.
Mhe: Kulwa Gwisu Hinda
Me
Diwani
Masela
31.
Mhe: George Jigaka Milingwa
Me
Diwani
Mataba
32.
Mhe: Machimu Lulenganija Shimoga
Me
Diwani
Mwabayanda
33.
Mhe: Saida Daudi Dila
Me
Diwani
Mwamashimba
34.
Mhe: Machiya Lilida Selya
Me
Diwani
Mwang'honoli
35.
Mhe: Emmanuel M. Ndalahwa
Me
Diwani
Nyabubinza
36.
Mhe: Mohamed Dase Zengo
Me
Diwani
Seng'wa
37.
Mhe: Maguhwa Ifogong'ho Kanyenyeki
Me
Diwani
Shishiyu
38.
Mhe: Jeremia Mange Shigala
Me
Diwani
Zanzui
39.
Mhe: Pilli Lameck Ndimila

Ke
Diwani
Viti Maalum
40.
Mhe: Mary Gigwa Mbuttu

Ke
Diwani
Viti Maalum
41.
Mhe: Witness Phillipo Dwese

Ke
Diwani
Viti Maalum
42.
Mhe: Perus Anthon Makalwe

Ke
Diwani
Viti Maalum
43.
Mhe: Leticia Limi Lolela

Ke
Diwani
Viti Maalum
44.
Mhe: Devotha Joseph Pigu

Ke
Diwani
Viti Maalum
45.
Mhe: Modester Mussa Kabeya

Ke
Diwani
Viti Maalum
46.
Mhe: Frola Kundi Nungu

Ke
Diwani
Viti Maalum
47.
Mhe: Getruda Lugobi Mwandu

Ke
Diwani
Viti Maalum
48.
Mhe: Julietha Mwashi Mungo

Ke
Diwani
Viti Maalum
49.
Mhe: Thereza Thomas Obadia

Ke
Diwani
Viti Maalum
50.
Mhe: Milembe Bulugu Mede

Ke
Diwani
Viti Maalum
51.
Mhe: Modester Sado Mapela
Ke
Diwani
Viti Maalum






BARAZA LA MADIWANI MWAKA 2015/2020

Baraza la Madiwani wilayani Maswa lina jumla ya Wajumbe 50, yaani Wabunge 2 kutoka Jimbo la Maswa Mashariki na Maswa Magharibi, Madiwani wa kuchaguliwa kutoka katika Kata 36 na Madiwani wa kuteuliwa 12.

Kazi na wajibu wa Diwani

  1. Kuhamasisha na kuelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi, ushuru, na mapato mengine ya Halmashauri ili waweze kupatiwa huduma bora,
  2. Kufuatilia matumizi ya fedha za Halmashauri kwa lengo la kujiridhisha kuwa matumizi ya fedha hizo hayavuki bajeti iliyoidhinishwa na kwamba fedha zote zimetumika kwa madhumuni yaliyowekwa,
  3. Kuhamasisha na kuelimisha wananchi kuhusu vita dhidi ya umasikini, rushwa na janga la UKIMWI
  4. Kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa maamuzi, mipango na utoaji wa huduma katika Kata yake na kutoa taarifa kwenye vikao vya Halmashauri au Kamati za Halmashauri endapo kuna kasoro za msingi za utekelezaji,
  5. Kuhakikisha kwamba watumishi wote walioko katika eneo la Kata yake wanafanya kazi zao kwa uadilifu na ufanisi na endapo
  6. Kutambua makundi yote katika jamii na kutoa fursa sawa kwa makundi yote katika kuboresha hali zao,
  7. Kumfanya kila mwanajamii kujiona kuwa yeye ni sehemu ya jamii na pia ana maslahi katika jamii yake.
  8. Kuthamini watu wote bila kujali tofauti zao

MAJINA YA WAH. WABUNGE NA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA MWAKA 2015-2020







Na.
Jina la Mheshimiwa
Picha
Jinsi
Wadhifa
Jimbo / Kata
1.
Mhe: Stanslaus Haroon Nyongo

Me
Mbunge
Maswa Mashariki
2.
Mhe: Mashimba Mashauri Ndaki

Me
Mbunge
Maswa Magharibi
3.
Mhe: Aaron Joseph Mboje

Me
Diwani
Binza
4.
Mhe: Esther Guchiba Ng’holongo

Ke
Diwani
Budekwa
5.
Mhe: Jeremia Jayunga Matondo

Me
Diwani
Bugarama
6.
Mhe: Nangale Maige Ngusa

Me
Diwani
Busilili
7.
Mhe: Raphael Ndegeleki Kudomya

Me
Diwani
Dakama
8.
Mhe: Sayi Samwel Maige

Me
Diwani
Ipililo
9.
Mhe: Ally Mbarik Said

Me
Diwani
Lalago
10.
Mhe: Abel Samwel Masunga

Me
Diwani
Mbaragane
11.
Mhe: Amos Athanas Ntabo

Me
Diwani
Mpindo
12.
Mhe: Samwel  Mwandu Sita

Me
Diwani
Mwabaraturu
13.
Mhe: Petro Mashala Ng’wandu

Me
Diwani
Mwamanenge
14.
Mhe: Stephen Kanuda Dwese

Me
Diwani
Ng'wigwa
15.
Mhe: Peter Mlyandingu Mathias

Me
Diwani
Nguliguli
16.
Mhe: Bundala Joseph Isambaja

Me
Diwani
Nyalikungu
17.
Mhe: Juliana John Mbula

Me
Diwani
Sangamwalugesha
18.
Mhe: Mbobo Sadick Duttu

Me
Diwani
Senani
19.
Mhe: Paul Simon Maige

Me
Diwani
Shanwa
20.
Mhe: Masanja Mpiga Magembe

Me
Diwani
Sola
21.
Mhe: Mary Saganda Misangu

Ke
Diwani
Sukuma
22.
Mhe: Juma Alphonce Ng’wandu

Me
Diwani
Badi
23.
Mhe: Sylvanus Mipawa Majula

Me
Diwani
Buchambi
24.
Mhe: Paul Nyondwa Njige

Me
Diwani
Busangi
25.
Mhe: Jitambi Charle Gagagaga

Me
Diwani
Isanga
26.
Mhe: Walwa Daud Lubinza

Me
Diwani
Jija
27.
Mhe: Ndilla Mayeka Jisena

Me
Diwani
Kadoto
28.
Mhe: Mashala Ng’wele Machungwa

Me
Diwani
Kulimi
29.
Mhe: Mashala Renatus Masalu

Me
Diwani
Malampaka
30.
Mhe: Kulwa Gwisu Hinda

Me
Diwani
Masela
31.
Mhe: George Jigaka Milingwa

Me
Diwani
Mataba
32.
Mhe: Machimu Lulenganija Shimoga

Me
Diwani
Mwabayanda
33.
Mhe: Saida Daudi Dila

Me
Diwani
Mwamashimba
34.
Mhe: Machiya Lilida Selya

Me
Diwani
Mwang'honoli
35.
Mhe: Emmanuel M. Ndalahwa

Me
Diwani
Nyabubinza
36.
Mhe: Mohamed Dase Zengo

Me
Diwani
Seng'wa
37.
Mhe: Maguhwa Ifogong'ho Kanyenyeki

Me
Diwani
Shishiyu
38.
Mhe: Jeremia Mange Shigala

Me
Diwani
Zanzui
39.
Mhe: Pilli Lameck Ndimila

Ke
Diwani
Viti Maalum
40.
Mhe: Mary Gigwa Mbuttu

Ke
Diwani
Viti Maalum
41.
Mhe: Witness Phillipo Dwese

Ke
Diwani
Viti Maalum
42.
Mhe: Perus Anthon Makalwe

Ke
Diwani
Viti Maalum
43.
Mhe: Leticia Limi Lolela

Ke
Diwani
Viti Maalum
44.
Mhe: Meryce Maberana Emmanuel

Ke
Diwani
Viti Maalum
45.
Mhe: Sayi Nyorobi Izengo

Ke
Diwani
Viti Maalum
46.
Mhe: Kundi Cherehani Yege

Ke
Diwani
Viti Maalum
47.
Mhe: Juliana John Sang’udi

Ke
Diwani
Viti Maalum
48.
Mhe: Julietha Mwashi Mungo

Ke
Diwani
Viti Maalum
49.
Mhe: Jeni Jeremiah Sayi

Ke
Diwani
Viti Maalum
50.
Mhe:

Ke
Diwani
Viti Maalum
51.


Ke
Diwani
Viti Maalum




Matangazo

  • TANGAZO LA UHAMASISHAJI CHANJO YA MIFUGO January 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASWA

    March 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.