Posted on: July 22nd, 2022
Kamati ya Fedha Utawala na Mipango imefanya ziara ya kwenda kujifunza jinsi ya uendeshaji wa Viwanda katika Kiwanda cha Bidhaa za ngozi Kilimanjaro.
Katika ziara hiyo Kamati imekutana na Kamati Ten...
Posted on: July 11th, 2022
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2022 Ndg. Sahili Geraruma ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Maswa kwa kutenga eneo la uwekezaji kwa ajili ya uwezesha...
Posted on: June 27th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Maswa kwa kupata hati Safi iliyotokana na ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG kwa mwaka wa fedh...