Posted on: June 13th, 2018
Jopo la wataalamu kutoka halmashauri ya Wilaya ya Maswa limeridhia kusimamia suala zima la uanzishaji, uendelezaji na usimamiaji wa viwanda katika mji wa Maswa.
Hili limedhihirishwa pale wali...
Posted on: June 12th, 2018
Wafanyakazi wa kiwanda cha chaki Maswa wamepokea kofia ngumu 25 za kutumia wakati wa kazi kutoka Benki ya CRDB tawi la Maswa.
Kofia hizo zimekabidhiwa na Meneja wa Benki wa tawi hilo mbele ya...
Posted on: June 12th, 2018
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Maswa amekabidhi mapipa 40 ya kutupia taka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ikiwa ni lengo la kuchangia nyenzo za kuwezesha kuuweka mji wetu wa...