Posted on: October 8th, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Balozi, Dkt Emmanuel Nchimbi amewapongeza wananchi wa Maswa kwa kushiri katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani Maswa.
Dkt Nchimbi...
Posted on: October 7th, 2024
Waandikishaji wa Wapiga Kura katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa wamepata mafunzo maalumu yenye lengo la kwajengea uwezo katika zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura litakalofanyika kuanzia tarehe 11...
Posted on: September 28th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Kenani Labani Kihongosi amepiga marufuku wanasiasa kugawa mbegu na mbolea kwa wakulima na kuwataka wajikite Zaidi kwenye kazi zao za siasa.
Mhe Kihongosi alisema hayo wa...