Posted on: July 16th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka watendaji wa Kata na wataalamu wa Kilimo kusimamia sheria na kanuni za Kilimo bora cha pamba wanapotoa Elimu hiyo ili wakulima wawez...
Posted on: July 12th, 2023
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu yenye lengo la kufuatilia utoaji wa huduma za afya katika ngazi mbalimbali na kuhimiza watumishi wa afya kuzingatia...
Posted on: July 11th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge ameishukuru Serikali kwa kutoa Fedha kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya uboreshaji usalama wa milki za ardhi ili kutekeleza mpango wa matumizi ya a...