Posted on: June 24th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Kenani Kihongosi ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa kupata hati Safi iliyotolewa na mthibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG.
"Niwapongeze Halmasha...
Posted on: May 22nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe Aswege Kaminyoge amewaagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya, Afisa ushirika na makampuni kuandaa mikataba madhubuti yenye mashiko ya kisheria ambayo itasainiwa...
Posted on: May 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe Aswege Kaminyoge amezindua rasmi msimu mpya wa ununuzi wa pamba wa mwaka 2024/2025 katika Wilaya ya Maswa ambapo pamba hiyo itauzwa shilingi 1150 kwa kilo moja ya pamba iki...