Posted on: August 12th, 2020
Uzinduzi wa Bodi ya Kampuni ya Viwanda ya Ng'hami ( Ng'hami Industries Company Limited ) inayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa umefanyika tarehe 12/08/2020 katika ukumbi Mkubwa wa Halmashaur...
Posted on: July 16th, 2020
Wajumbe wa kamati ya Lishe Wilaya ya Maswa wamefanya ziara katika kiwanda cha kusindika ungalishe kilichoko katika kijiji cha Njiapanda Kata ya Isanga Wilayani Maswa.
Katika ziara hiyo hapo kiwanda...
Posted on: June 30th, 2020
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ametembelea Miradi ya kimkakati ya ujenzi wa Kiwanda cha chaki na kiwanda cha Vifungashio vilivyoko eneo la Ng'hami. Pamoja na kutembelea miradi y...