Wameshindwa Madiwani 35 wa kuchaguliwa kutoka katika Kata 36 na Madiwani 13 wa Viti maalum wamehapishwa hivi leo tarehe 7/12/2020 katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.
Sambamba na kiapo hicho, uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya umefanyika na kuchaguliwa Mhe. Paul Simon Maige Diwani Kata ya Shanwa. Pia Makamu Mwenyekiti aliyechaguliwa ni Mhe. Mary Saganda Misangu Diwani Kata ya Sukuma.
Kamati za kudumu za Halmashauri zimeundwa na kuchagua wenyeviti wa kamati hizo. Pia Waheshimiwa Madiwani wamepitisha ratiba ya vikao vya Halmashauri vya Mwaka mzima.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.