Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa tarehe 20/06/2025 kutakuwa na Mkutano wa Baaza la Madiwani kuanzia saa 6.00 Mchana.
Wote mnakaribishwa. Zaidi soma TANGAZO LA MKUTANO WA BARAZA_250619_161804.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.