Wakuu wa Idara Wilayani Maswa wamekuwa na ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani hapa. Katika Ziara hiyo miradi inayotekelezwa na Idara za Afya, Elimu na Mipango imekaguliwa.
Miradi hiyo ni ya:-
Ujenzi wa Kiwanda cha chaki kilichopo katika kijiji cha Ng'hami

Ujenzi wa Kiwanda cha Vifungashio kilichopo katika kijiji cha Ng'hami

Ujenzi wa Jengo la Utawala katika eneo la Viwanda katika kijiji cha Ng'hami


Ujenzi wa Uzio unaozunguka eneo la Viwanda katika kijiji cha Ng'hami


Ujenzi wa Matundu 8 ya vyoo katika Zahanati ya Malita


Ujenzi wa Nyumba 4 katika Shule ya Sekondari Mwamanenge








Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Mwamanenge


Ujenzi wa Jengo la Upasuaji katika Zahanati ya Zebeya


Ukamilishaji wa Jengo la Wagonjwa wa Nje katika Zahanati ya Zebeya

Ujenzi wa Vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Sekondari Sangamwalugesha

Ujenzi wa matundu 8 ya vyoo katika Zahanati ya Sangamwalugesha


Ujenzi wa matundu 8 ya vyoo katika Kituo cha Afya Lalago


Ujenzi wa Jengo la Upasuaji katika Kituo cha Afya Lalago

Ukarabati wa Wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Lalago

Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.