Baraza la Wafanyakazi wilayani Maswa la kupitisha rasimu ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2018/2019 limefanyika leo katika Ukumbi mkubwa wa mikutano wa Wilaya ya Maswa.
Wajumbe wamejadili kwa kina bajeti pendekezwa na kutoa maoni/mapendekezo ya sehemu za kufanyia maboresho.
Mwisho wameomba ili kusiwepo usumbufu kwa wastaafu, orodha ya wastaafu wote ifikishwe ofisini kwa Mkurugenzi ili madeni yao yajumuishwe kwenye vipaumbele vya mpango na bajeti hii.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.