Posted on: February 24th, 2022
Balozi wa pamba Tanzania Mh. Agrey Mwanri amefanya ziara wilaya ya Maswa yenye lengo la kuelimisha wakulima wa pamba namna bora ya utumiaji wa viuwatilifu.
Akiwa kwenye ziara hiyo Mh Balozi ameamba...
Posted on: December 24th, 2021
Leo tarehe 24/12/2021 umefanyika uzinduzi wa upandaji miti Wilayani Maswa. Zoezi hilo limefanyika katika eneo la Shule ya Sekondari Zanzui iliyoko kata ya Zanzui ambapo miti 10,000 inatarajiwa kupandw...
Posted on: December 21st, 2021
Leo tarehe 21/12/2021 Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani Maswa.
Miradi iliyokaguliwa ni ya Ujenzi wa vyumba vya Madarasa iliyofadhi...