Kamati tendaji ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa imetembelea eneo la Mkalama linalotarajiwa kuchimpwa Gypsam kwa ajili ya kiwanda kikubwa na chaki Maswa kinachotarajiwa kujengwa hivi karibuni katika eneo la viwanda la Ng'hami mjini Maswa. Ziara hiyo imefanyika siku ya Jumamosi tarehe 17/11/2018 ili kufahamu mipaka ya eneo husika.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.