Posted on: July 26th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge amesema Mwenge wa Uhuru utatembelea, utakagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 1.5 katika Wilaya ya Maswa.
...
Posted on: July 22nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge amesema makampuni yanatakiwa kununua pamba katika AMCOS kwa sababu pamba hiyo inakuwa na ubora unaotakiwa lengo likiwa ni kupunguza kero ya pamba isiyo na...
Posted on: July 17th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe Aswege Kaminyoge amewaomba watendaji wa Kata kutoa elimu ya lishe kwa kuhamasisha wakuu wa shule kupeleka mahindi kusagwa katika mashine zenye virutubisho ambavyo vit...