• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

DED Maswa atoa wito kwa wananchi kutumia mbinu Bora za kilimo

Posted on: August 8th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Ndg. Maisha Mtipa amewataka wananchi wa Maswa kulima Kilimo bora kwa kutumia mbegu bora ambazo zimefanyiwa utafiti kwa  kuwa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania ametoa Fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha sekta ya Kilimo ili wananchi waweze kuongeza tija na kuzalisha kwa tija.

Ndg Mtipa aliyasema hayo katika kilele cha maonesho ya sikukuu ya nanenane Kanda ya Ziwa  Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani Simiyu wakati akitembelea vipando vya mazao mbalimbali vya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa na kuona namna ambavyo mbinu  Bora za Kilimo zilivyotumika.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji alisema mazao yote yakilimwa kwa kufuata utaalamu yatawasaidia kuongeza tija na ametoa wito kwa vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika Kilimo ili waweze kuleta mifumo endelevu ya chakula.

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Ndg. Robert Urassa wa  Halmashauri ya Wilaya ya Maswa amewataka wananchi na taasisi za umma hasahasa shule kulima zao la alizeti ili liwawezeshe kupata huduma ya mafuta kwa ajili ya kupikia.

“Mikakati ya wilaya ya Maswa ni kuhakikisha  zao la alizeti linapandwa na tayari lilianza msimu wa mwaka juzi tulihamasisha wananchi vizuri, kuwaletea mbegu pia tunaendelea kuhamasisha wananchi wapande zao la alizeti, Alizeti ni zao litakalomkomboa mkulima”. Amesema Ndg Urassa.

Nae Bw. Masuka  Balele  ambaye ni  bwana shamba katika kampuni hiyo ya usambazaji wa mbegu mbalimbali kutoka katika kampuni ya Advanta amewaomba wananchi wa Maswa kuchangamkia fursa ya mbegu za alizeti aina ya chotara katika msimu ujao wa Kilimo  zenye mafuta mengi,  zinazohimili magonjwa, wadudu na kupata mavuno mengi yenye ujazo wa kuanzia gunia 15 mpaka 16 kwa hekari.

Nae mkulima wa mbogamboga Ndg Simon William amewataka wananchi wa Maswa wawe wanahudhuria katika maonesho ya nanenane ili waweze kupata utaalamu wa mbinu Bora za Kilimo kwa kuwa yeye kimemsaidia kujiinua kiuchumi na kupata lishe Bora katika familia yake.


Matangazo

  • TANGAZO LA UHAMASISHAJI CHANJO YA MIFUGO January 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASWA

    March 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.