Posted on: November 5th, 2020
Wakuu wa Idara Wilayani Maswa wamekuwa na ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani hapa. Katika Ziara hiyo miradi inayotekelezwa na Idara za Afya, Elimu na Mipango imekaguliwa.
...
Posted on: August 18th, 2020
Wazazi wa Wanafunzi wa shule ya msingi Maswa Wilayani Maswa ya wamefanya kikao na Mkurugenzi Mtendaji leo asubuhi wakiwa na ajenda moja ya ukamishaji wa ujenzi wa Matundu 30 ya vyoo vya Wanafunzi shul...
Posted on: August 12th, 2020
Uzinduzi wa Bodi ya Kampuni ya Viwanda ya Ng'hami ( Ng'hami Industries Company Limited ) inayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa umefanyika tarehe 12/08/2020 katika ukumbi Mkubwa wa Halmashaur...