Wananchi Wilayani Maswa wamejitokeza kwa wingi kuitikia zoezi la uandikishaji na kupata vyeti vya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano lillilo anz leo katika vituo 80 yaani katika Ofisi za Kata 36, Zahanati 37, Vituo vya Afya 3 na Hospitali ya Wilaya.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.