Posted on: March 22nd, 2018
Wananchi wa Kata ya Jija wamejitokeza kushiriki zoezi la upandaji miti katika chanzo cha Maji kilichoko katika kijiji cha Jija leo siku ya maadhimisho ya sherehe ya wiki ya maji iliyoadhimishwa katika...
Posted on: March 14th, 2018
Wananchi Wilayani Maswa wamejitokeza kwa wingi kuitikia zoezi la uandikishaji na kupata vyeti vya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano lillilo anz leo katika vituo 80 yaani katika Ofisi za Kata ...
Posted on: March 12th, 2018
Leo tarehe 12/3/2018 kulikuwa kikao cha Wadau wa elimu Wilayani Maswa ambacho Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka. Kikao hicho kimejumuisha Waheshimiwa Madiwani, Walimu Wakuu...