Posted on: November 4th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa akiongozana na Wakuu wa Idara na Vitengo leo tarehe 4/11/2019 ameongea wa wazazi, walezi na Waalimu wa Shule ya Msingi Nyalikungu.
Lengo kuu la...
Posted on: November 1st, 2019
Leo tarehe 1/11/2019 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa amefanya kikao na Watumishi wa Kata saba Wilayani hapa. Katika kikao hicho Watumishi wamepata fursa kutoa kero na changamaoto...
Posted on: October 31st, 2019
Kamati ya Lishe Wilayani Maswa imefanya kikao cha robo ya kwanza ambapo Idara mbalimbali pamoja na wadau wa maendeleo wamewasilisha taarifa ya utekelezaji wa afua za lishe kwa mwaka huu wa fedha. ...