Kamati ya menejimenti ya Halmashauri ya wilaya ya Maswa ametembelea miradi ya ujenzi wa Ofisi ya Udhibiti Ubora wa Elimu na Ujenzi wa Viwanda vya Chaki na Vifungashio.
Ofisi ya Udhibiti ubora wa elimu imeisha kamilika ujenzi na imeanza kutumika sasa.
Wakuu wa Idara wakipata taarifa ya ujenzi katika mojawapo ya ofisi kwenye jengo hili
Ujenzi wa viwanda vya Chaki na Vifungashio Ng'hami unaendelea.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.