Posted on: September 28th, 2021
Leo ni siku ya maadhimisho ya "SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI" ambayo kwa Kanda ya Ziwa imefanyika hapa Wilaya ya Maswa.
Shughuli zilizofanyika kufikia maadhimisho haya ni pamoja na kutoa Elimu ya...
Posted on: September 24th, 2021
Vijana wa Kike chini ya Mradi wa Vijana tunaweza unaofadhiliwa na shirika la UNFPA na kutekelezwa na Restless Development wamekutana na Viongozi wa serikali Wilayani Maswa leo tarehe 24/09/2021.
Mr...
Posted on: August 25th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Ndg. Simon Berege amewahaidi kuwapatia ushirikiano wa hali ya juu Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri hii katika shughuli zote za m...