Wafanyakazi wa kiwanda cha chaki Maswa wamepokea kofia ngumu 25 za kutumia wakati wa kazi kutoka Benki ya CRDB tawi la Maswa.
Kofia hizo zimekabidhiwa na Meneja wa Benki wa tawi hilo mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ili kuunga mkono sera ya viwanda inayotekelezwa Wilayani Maswa.
Aidha Meneja huyo amehaidi kutoa Viatu vya kazi safety Boot ili waweze kufanya kazi kwa usalama zaidi.
Maswa ya Viwanda inawezekana kwa kushirikiana pamoja.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.