Posted on: December 7th, 2024
Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya ya Maswa.
Timu ya Menejimenti imekagua mira...
Posted on: November 29th, 2024
Viongozi walioshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 wameapishwa leo tarehe 29 Novemba 2024 kwa lengo la kuanza utekelezaji wa majukumu ya kuwatumik...
Posted on: November 27th, 2024
Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Maswa limefanyika kwa Amani ambao viongozi mbalimbali wameendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura ili kuchagua viongozi wataka...