Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Kenan Kihongosi akiwa na viongozi mbalimbali wa dini, amewaongoza wananchi wa Mkoa wa Simiyu katika ibada maalum kwa ajili ya Dua na Maombi ya shukrani kwa kumaliza mwaka 2024 pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Taifa na Mkoa wa Simiyu ambapo ibada hiyo imefanyika katika viwanja vya CCM Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo tarehe 23/12/2024.
Kabla ya maombi walianza na maandamano ya amani yaliyofanyika kanzia Uwanja wa CCM kupitia mzunguko wa mjini Bariadi na kurejea uwanja wa CCM.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.