Posted on: March 13th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Ndg Athuman Kalaghe amezindua mfumo wa stakabadhi ghalani ambao utamsaidia mkulima kupata faida kwa kuwa atauza kulingana na bei iliyopo sokoni.
Ameto...
Posted on: March 9th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Dkt Yahaya Nawanda amempongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwawezesha wanawake wa mkoa wa simiyu
Amesema hayo katika maadhimisho ya siku ya wanawake...
Posted on: March 8th, 2024
Mkuu wa Divisheni ya kilimo ufugaji na uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa amewapongeza wananchi wa Kijiji Cha Mandang'ombe kwa mwitikio mkubwa waliouonyesha katika uzinduzi wa ugawaji wa nyandaru...