Posted on: May 29th, 2019
Viongozi wa shirika la maendeleo UNDP kutoka ofisi yao Makao makuu Dar es Salaam wamezulu Wiliyani Maswa kwa ajili ya kutembelea viwanda.
Ziara ya wataalamu hao imefanyika leo tarehe 29.05.2019 kwa...
Posted on: May 22nd, 2019
Mwenge wa uhuru Wilayani Maswa umepokelewa kwa furaha nderemo na vifijo katika kijiji cha Jihu Kata ya Badi ukitokea Wilaya ya Kwimba Mkoa wa Mwanza.
Ulikabidhiwa Wilayani Maswa baada ya Mkuu wa Mk...
Posted on: May 2nd, 2019
Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii wanaohusika kufanya kazi ya huduma jumuishi ya Mama mjamzito, mtoto mchanga na watoto wenye umri chini ya miaka mitano wameletewa Baiskeli kwa ajili ya kurahisisha ufan...