Posted on: December 18th, 2022
Mradi wa BOOST ni mradi unaokuja kwa ajili ya kuinua elimu ya Awali na Msingi. Mradi huu utahusisha masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa miundombinu (Madarasa), Ununuzi wa Vifaa vya TEHAMA,...
Posted on: December 12th, 2022
SALIKI kirefu chake ni Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji, hufanyika mara moja kwa kila robo kwa kila Kijiji, shughuli mbalimbali hufanyika siku hio kama vile utoaji wa elimu ya lishe kwa nadharia na vit...
Posted on: December 12th, 2022
Balozi wa pPamba Tanzania Mhe. Agrey Mwanri ametoa elimu juu ya kanuni Bora za kilimo cha zao la Pamba kwa viongozi, wataalamu wananchi na watendaji kwa kuwaomba watendaji kuanzia kitongoji mpa...