Posted on: January 3rd, 2021
Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Said Jafo ametembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Viwanda Maswa.
Kasikitika kuona utekelezaji wa ujenzi unasuasua. Ameagiza ifikapo tarehe 15/...
Posted on: December 7th, 2020
Wameshindwa Madiwani 35 wa kuchaguliwa kutoka katika Kata 36 na Madiwani 13 wa Viti maalum wamehapishwa hivi leo tarehe 7/12/2020 katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.
Sambamba na...
Posted on: November 5th, 2020
Wakuu wa Idara Wilayani Maswa wamekuwa na ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani hapa. Katika Ziara hiyo miradi inayotekelezwa na Idara za Afya, Elimu na Mipango imekaguliwa.
...