Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ainaendelea na maandalizi ya uandaaji mazingira mazuri ya ununuzi wa zao la Pamba.
Vikao mbalimbali vya wadau vikiambatana na utoaji wa elimu kwa vyama vya msingi vitakavyohusika katika suala zima la ununuzi wa pamba mwaka huu 2018 vinaendelea. Zoezi hli limeambatana na ukaguzi wa maghala na kusisitiza wananchi kupeleka sokoni pamba safi.
Musimu unatarajiwa kufunguliwa tarehe 1/5/2018.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.