• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Siku ya Wafanyakazi Duniani yafana Simiyu

Posted on: May 1st, 2018

Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani kimkoa imefanyika Wilayani Itilima mkoa wa Simiyu chini ya kauli mbiu "Kuunganishwa kwa Mifuko ya Hifadhafi ya Jamii kulenga kuboresha mafao ya wafanyakazi".

Mgeni rasmi ya siku ya leo katika sikukuu hii alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka. Katika hotuba yake ameahidi kutoa zawadi za kutambua vipaji vya watu wa Simiyu, ameahidi kumtambua Mwalimu mstaafu Mwl. Thomas mtunzi wa wimbo wa "acha nilingie kazi yangu ya ualimu", wimbo unaotumika kwenye matamasha ya Walimu Mkoani Simiyu siku zote.

Pia amerejea hotuba yake ya mei mosi 2017 pale Lamadi wilayani Busega aliyowataka viongozi kubadilika na matokeo yake yanaonekana.

Amewaasa watumishi wajipange na kuandaa mazingira yao mazuri ya baadaye baada ya kustaafu kwa kujenga nyumba zao mapema kabla ya kustaafu ili waishi vizuri.

Amewahimiza walimu kutumia fursa zilizopo kwa kuwaambia kufundisha tution wakati wa likizo ili kuwaweka wanafunzi wetu katika hali ya kuelewa. Muda wote watoto wapishane wakiwa na vitabu na madaftari ili kuinua kiwango cha elimu kuliko kukutana nao wakiwa na mifugo.

Amesema kuwa anajivunia wananchi wa Simiyu kwani wanafanya kazi kwa nguvu na Watumishi wanafanya kazi kwa moyo. Amewapongeza wafanya kazi wa Mkoa wa Simiyu kwa juhudi zao za kuleta mabadiliko.

Amewajulisha wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu kuwa Mkoa umepata fedha kwa ajili ya kujenga shule 3 za kisasa.

Amewakumbusha watumishi kuipenda kazi yao na Mkoa wetu kwa ujumla ili kuleta chachu ya maendeleo na mafanikio.

Sherehe zimehudhuriwa na Watumishi mbalimbali kutoka kila Wilaya wakiongozana na Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara na Vitengo. Aidha watumishi mbalimbali kutoka kila kada wametunukiwa zawadi za vyeti, fedha na vifaa vingine vilivyokabidhiwa na Mgeni rasmi. 

Matangazo

  • TANGAZO LA UHAMASISHAJI CHANJO YA MIFUGO January 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASWA

    March 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.