Idara ya kilimo kushilikiana na kampuni inayosambaza mbegu hizo ya Bytrade(T)ltd wameandaa kuanzisha mashamba ya mfano katika vijiji 25 kwa ajili ya kilimo cha Alizeti kwa kutumia mbegu bora aina ya Hysun 33
Mafunzo yalitolewa kwa Maafisa Ugani wa Kata na Vijiji hivyo jumla yao 21 yaliyoendeshwa na mtaalam kutoka kampuni ya Bytrade.
Lengo la mashamba hayo ni kulima, kuona na kujifunza kilimo bora cha Alizeti na matumizi ya mbegu bora aina ya Hysun 33 ambayo inauzalishaji mzuri na mafuta mengi.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.