Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Said Jafo ametembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Viwanda Maswa.
Kasikitika kuona utekelezaji wa ujenzi unasuasua. Ameagiza ifikapo tarehe 15/1/2021 kazi zote ziwe zimekamilika.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.