Jopo la wataalamu kutoka halmashauri ya Wilaya ya Maswa limeridhia kusimamia suala zima la uanzishaji, uendelezaji na usimamiaji wa viwanda katika mji wa Maswa.
Hili limedhihirishwa pale walipotoa taarifa kuhusu viwanda vilivyopo hapa Maswa kwa sasa kwa wataalamu washauri wa masuala ya viwanda na kutoa michango yao.
Baada ya wataalamu kuelezwa umhimu wa uwekezaji hasa wa Viwanda kila mmoja amekuwa na hamasa ya kuanzisha, kuendeleza na kusimamia kiwanda.
Maswa ya Viwanda inawezekana kwa kushirikiana pamoja. Karibu tutekeleze sera ya Viwanda Maswa.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.