Maradi lishe kwa wasichana wenye lika balehe ( miaka 10 - 19) umezinduliwa leo katika eneo la Madeco mjini Maswa. Katika Mkoa wa Simiyu mradi huu umeanza kutekelezwa katika Wilaya ya Meatu na sasa unategemea kutekelezwa pia katika Wilaya za Maswa na Bariadi. Walengwa ni wasichana wote wanaosoma na wasiosoma.
Uzinduzi huu umeambatana na maelekezo juu ya huu mradi yaliyowahusisha wadau mbalimbali ambao ni Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, Waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa Idara, Wadau wa Afya na Wanafunzi wa Sekondari na Msingi kutoka shule za hapa mjini.
Lengo la mradi huu ni
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.