Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa anawatangazia wananchi wenye sifa stahili kutuma maombi ya nafasi za kazi kama ifuatavyo:
1. Dereva Daraja la II – Nafasi 2
2. Mtendaji wa Kijiji Daraja la III – Nafasi 3
3. Msaidizi wa hesabu (Accounts Assistant)- Nafasi 2 ( Linarudiwa kwa mara nyingine)
Kwa maelezo zaidi ya Udereva na Utendaji bofya hapa TANGAZO LA KAZI -AUGUST 2017.pdf
Kwa maelezo zaidi ya Usaidizi wa Hesabu bofya hapa TANGAZO LA KAZI YA MKATABA1.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.