Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, inapenda kuwatangazia wakazi na wananchi wote wanaoishi katika Wilaya ya Maswa:
KWAMBA, kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi na usimamizi wa shughuli zake kwa mujibu wa Mamlaka yake kisheria, Halmashauri ya Wilaya ya Maswa inakusudia kutunga Sheria Ndogo mbili (2) ambazo ni:
1.Sheria Ndogo (Ada Na Ushuru) za Halmashuri ya Wilaya ya Maswa za Mwaka 2017
2.Sheria Ndogo (Ushuru wa Huduma) za Halmashauri ya Wilaya ya Maswa za Mwaka 2017,
Pakua Tangazo hapaTangazo la Sheria Ndogo 2017.pdf
Pakua Rasimu ya Sheria ndogo za Ada na Ushuru hapa SHERIA NDOGO za ushuru (ammended).pdf
Pakua Rasimu ya Sheria ndogo za Ushuru wa huduma hapaUshuru wa Huduma 2017.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.