Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yameanza tarehe 16-23 Juni,2017. Elimu na ufafanuzi wa hoja na maswala mbalimbali juu ya utekelezaji wa majukumu ya Utumishi wa Umma inaendelea kutolewa.
Wadau na wananchi wote mnakaribishwa kupata ufafanuzi wa mambo hayo yanayohusu Utumishi wa Umma kama yalivyo anza hapo tarehe 16/6/2017.
Kauli mbiu ya Mwaka huu:"KUIMARISHA USHRIKISHWAJI WA JAMII KATIKA UTOAJI HUDUMA; VIJANA WASHIRIKISHWE KATIKA KULETA MABADILIKO BARANI AFRIKA"
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.