Posted on: December 2nd, 2025
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Maswa limezinduliwa leo Tarehe 02/12/2025 ambapo Waheshimiwa Madiwani wameapa kiapo cha utii na cha maadili ya utumishi wa umma. Pia wamechagua uongozi y...
Posted on: November 10th, 2025
Leo tarehe 10/11/2025 umefanyika uzinduzi wa jengo la Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Maswa lenye ghorofa moja. Shughuli hiyo imeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Vicent Naano Anney kwa kushir...
Posted on: September 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Vincent Naano leo Septemba 26, 2025 amekabidhi vitendea kazi kwa Watmishi wa Kada mbalimbali vilivyotolewa na Serikali ya awamu ya Sita kwa ajili ya kufanikisha utendaji k...