Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa anawatangazia wananchi wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya wilaya ya Maswa nafasi za kazi ya mkataba kama ifuatavyo:
1.Afisa Masoko Msaidizi – Nafasi 1
2. Mfamasia Msaidizi – Nafasi 1
Kwa maelezo zaidi soma hapaTangazo la kazi ya Mkataba- Marketing Master.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.