Timu ya Menejiment ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa (CMT) imefanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa wilayani ili kujionea hali halisi ya utekelezaji na changamoto zinazoikabili miradi hiyo. Miradi hiyo ni kama ifuatavyo:-
A: UJENZI WA SHULE MPYA KATA YA NYALIKUNGU
Mradi huu unatekelezwa katika eneo la Ng’hami Kata ya Nyalikungu. Mradi huu unajumuisha ujenzi wa vyumva 8 vya madarasa, Maabara 3, Jengo la Utawala, Jengo 1 la Maktaba, Jengo la Kompyuta pamoja na vyoo matundu 20.
B: UJENZI WA ZAHANATI KATIKA KIJIJI CHA IWELIMO
Mradi huu unatekelezwa katika Kata ya MWAMANENGE Kijiji cha IWELIMO.
C: UKAMILISHAJI WA VYUMBA 2 VYA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI SENANI
Mradi huu unatekelezwa katika Kata ya SENANI Kijiji cha MBUGAMITA.
D: UKAMILISHAJI WA VYUMBA 2 VYA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWANDETE
Mradi huu unatekelezwa katika Kata ya SANGAMWALUGESHA Kijiji cha MWANDETE.
E: UKAMILISHAJI WA VYUMBA 3 VYA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWAGALA
Mradi huu upo katika Kata ya LALAGO Kijiji cha LALAGO.
F: UKAMILISHAJI WA ZAHANATI KATIKA KIJIJI CHA MWANG’ANDA
Mradi huu upo katika Kata ya KADOTO Kijiji cha MWANG’ANDA.
G: UJENZI WA SHULE MPYA YA MSINGI NG’HUNGU
Mradi huu upo katika Kata ya MATABA Kijiji cha LALI.
H: UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI KATA YA BADI
Mradi huu upo katika Kata ya BADI Kijiji cha JIHU
I: UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA BADI
Mradi huu upo katika Kata ya BADI Kijiji cha MUHIDA.
J: UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KIJIJI CHA SAYUSAYU
Shule ya sekondari sayusayu inajengwa katika Kata ya Buchambi kijiji cha Sayusayu. Aidha sekondari hii imejengwa kwa nguvu za wananchi hadi kufikia lenta na baadaye kupewa fedha za mfuko wa jimbo kwa ajili ya kupaua.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.