Watumishi hodari waliopatikana siku ya sikukuu ya Mei Mosi 2023 wamepewa zawadi mbalimbali zikiambatana na vyeti ikiwa ni sehemu ya pongezi katika utenda kazi wao.
Sikukuu imafanyika kwa Mkoa wa Simiyu kimkoa katika Mji wa Lamadi Wilaya ya Busega na Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Yahya Nawanda.
Katika hotuba yake Mhe Mkuu wa Mkoa amewasisitiza watumishi kuendelea kuwa na ushirikiano kazini na kufanya kazi kwa weledi ili kupata matokeo yenye tija katika shughuli wazifanyazo.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.